Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amefunguka kuwa mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye amezaa naye alimtaarifu kuwa ataenda kufanya kazi na Alikiba ili kupunguza maneno.
Diamond aliulizwa hilo swali kuwa huenda baada ya mama mtoto wake kuonekana kwa Alikiba mtu ambaye hawako naye sawa huenda ikaleta matatizo kwenye malezi ya mtoto wao.
The post Diamond “Hamisa Mobetto alinitaarifu kabla yakufanya video ya Dodo na Alikiba” – Video appeared first on Bongo5.com.