Diamond amesema kuwa “Nimenunua Hotel maeneo ya mikocheni, nimeshakabidhiwa documents zangu , ipo kwenye marekebisho kadhaa Kisha nitaitambulisha”
” Hotel niliyonunua kwasababu sijaanza kui upgrade , Niko radhi niitoe kwa serikali kwa muda huu ili iweze kutumika Kama Karantini au Hospitali mpaka pale Corona itakapoisha”
#Bongo5Updates: MUONEKANO WA HOTEL ALIYOINUNUA @diamondplatnumz Ipo eneo la mikocheni Jijini Dar es salaam. Siku rasmi ya kuizindua itatangazwa kwan bado ipo chini ya Maboresho maalumu. Ila kwasasa anaitoa itumike Kama Hospital/Karantini ya dharura pic.twitter.com/jdD9gE6eTS
— bongo5.com (@bongofive) April 27, 2020
The post Diamond aonyesha hoteli aliyoinunua na kuamua kuitoa itumike kama karantini ya watu wenye Corona – Video appeared first on Bongo5.com.