Msanii wa muziki, Diamond Platnumz amesema ataendelea kuwasaidia wasanii wapya licha ya baadhi ya wasanii kuondoka kwenye lebo hiyo ya WCB.

Amesema hayo usiku huu wakati ana mtambulisha msanii mpya wa lebo hiyo aitwae, Zuchu.

By Ally Juma.

The post Diamond afunguka kuhusu wasanii walioondoka WCB “Ukimsaidia mtu ukasubiria shukrani utamchukia kila mtu, mimi nasaidia kwa sababu nilisaidiwa ” – Video appeared first on Bongo5.com.