Idadi ya wagonjwa wa Covid-19 visiwani Zanzibar imeongezeka na kufikia 58, huku wawili wakiwa wamefariki duniani.

Wizara ya Afya visiwani humo imetangaza leo kuwa kati ya wagonjwa wapya 23, wagonjwa 21 ni Watanzania na wawili raia wa kigeni.

The post Corona: Wagonjwa wapya 23, wawili wafariki Dunia Zanzibar appeared first on Bongo5.com.