Idadi hiyo ya vifo ni kubwa zaidi kutangazwa ndani ya saa 24 na sasa vifo nchini humo vimefikia 32,917 kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu John Hopkins
Hata hivyo, vifo hivyo vinaweza kuwa vinajumuisha watu waliofariki wakihusishwa kuwa na COVID19 na Madaktari kujiridhisha hivyo lakini bila mgonjwa kupimwa maabara
Awali, Marekani ilikuwa ikitangaza idadi ya vifo vya wagonjwa waliopimwa maabara na kuthibitika kuwa na Ugonjwa huu.
The post Corona: Marekani watangaza vifo 4491 ndani ya saa 24 appeared first on Bongo5.com.