Msanii wa muziki wa Hip Hop, Billnass Ijumaa hii ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa ambapo amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu, muimbaji Nandy.

Hayo yamejiri katika kipindi cha live cha TV E ambapo siku ya jana wawili hao waliwekwa kitimoto.

Mara kwa mara wawili hao walikuwa wanakataa kuthibitisha kama wako pamoja.

Nandy ameingia kwenye mahusiano hayo ya wazi ikiwa ni mwaka mmoja toka afariki Ruge Mutahaba ambaye alikuwa mpenzi wake.

The post Billnass amvalisha pete ya uchumba Nandy (Video) appeared first on Bongo5.com.