Msanii wa muziki Baba Levo amefunguka kuuzungumzia wimbo wake mpya High and Low ambao kwa sasa unafanya vizuri kwenye chart mbalimbali za radio na runinga. B Levo ambaye pia ni diwani wa Kigoma amedai wimbo huo aliuandika akiwa jela.
The post Baba Levo: Wimbo High and Low niliuandika nikiwa jela, nikaacha baada ya kupata stress (Video) appeared first on Bongo5.com.