Baada ya kukimbiwa na wasanii wawili ambao ni Killy pamoja Cheed Alikiba arudi kivingine baada ya kumtambulisha msanii wake mpya kwenye game Tommy Flavour kwa kuachia ngoma ambayo Alikiba ameshirikishwa ya ‘OMUKWANO’ ambayo ni video pamoja na Audio.
Ikumbukwe Tommy Flavour alijiunga na Kings Music mwaka 2019 na huu ndio wimbo wake wa kwanza akiwa chini ya Alikiba.
Ngoma hii imepikwa na Producer Mocco genius na video yake kutengenezwa na Director Jordan Hoechlin & Rockshot.
By Ally Juma
The post Baada ya DODO Alikiba amtambulisha Tommy Flavour kwa kuachia ngoma mpya aliyoshirikishwa ‘OMUKWANO’ – Video appeared first on Bongo5.com.