Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Mkazi wa kijiji cha Mwakitolyo Shinyanga Mussa Jackson Kisinza (25) kwa kosa la kutoa taarifa ya uongo kwa kumpigia simu Waziri wa Afya Mh.Ummy Mwalimu na kumdanganya kuwa ana ugonjwa wa Corona.

Source: ITV

The post Atiwa mbaroni kwa kumpigia simu Waziri Ummy na kumdanganya kwamba ana corona appeared first on Bongo5.com.