Alikiba Afunguka kwa mara ya kwanza baada ya wasanii wake wawili kuamua kujiondoa katika lebo ya @kingsmusicrecords
Akiongea na Cloudstv @officialalikiba amesema kuwa:-


“Kings Music ni kama chuo, vijana nilikuwa naishi nao kama ndugu zangu, tumefundishana palipokuwa pana upungufu, nadhani now wamejiona wamehitimu wakaamua kuondoka”

“Walinifuata jana usiku saa 8 kasoro, wakaniambia walichotaka, nikawaambia kila la kheri. Saa 10 wakapost kwamba wamejiondoa kwenye Label.”

By Ally Juma.

 

The post Alikiba kuhusu wasanii wake kuondoka “Kings music ni kama chuo cha muziki, Walinifuata saa 8 za usiku wakaomba kuondoka nikawaruhusu” – Video appeared first on Bongo5.com.