Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialalikiba ameachia video mpya ya wimbo wake DODO katika ngoma hiyo mwanadada Hamisa mobetto akiwa kama Video Vixen.

Maudhui ya ngoma hiyo ameiigiza maisha ya kifalme, Wimbo huo umeachiwa tena kwenye akaunti ya Kings Music ya Youtube.

By Ally Juma.

The post Alikiba ameachia video mpya ya wimbo wake ‘DODO’ Hamisa Mobetto ndani – Video appeared first on Bongo5.com.