Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza ongezeko la wagonjwa wawili wa virusi vya corona Tanzania na kufikia watatu “Mjerumani wa Zanzibar ana miaka 24 na Mmarekani ana umri wa miaka 61 yupo Dar es salaam wagonjwa wote Hawa wapo nchi ya uangalizi maalum”

The post Waziri Mkuu Majaliwa atangaza wagonjwa wa Corona waongezeka Tanzania (Video) appeared first on Bongo5.com.