Wizara ya Afya imetoa taarifa ya hali ya ugonjwa wa Corona nchini ambapo Alhamisi hii kupitia taarifa hiyo imeonyesha wagonjwa wawili wameongezeka ambao wote ni raia wa Tanzania.

The post Wagonjwa wa Corona Tanzania waongezeka wawili, wote ni Watanzania appeared first on Bongo5.com.