Msanii wa bongo movie Wastara Juma amuwakia vikali mwanadada aliyejipatia umaharufu kwa jina la binti kiziwi ni baada ya kuwa video qeen kwenye wimbo wa Z- Anto na kumtaka akae mbali na Z- Anto kwakuwa yeye ndiye mpenzi wake kwa sasa.

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

VIDEO: