”Mkude ni mfupi, John Raphael Bocco yeye ni mrefu na anamwili hivi, Morrison,” Maneno ya shabiki wa #yangasc Ally Thabiti ambaye ni mlemavu wa macho akifafanua kwa kina namna anavyoweza kuwatambua watu kuanzia muonekano wao, maumbile, rangi, uzito na hata urefu.

Kuangalia Full Video ya Ally Thabiti kijana mwenye kipaji kikubwa cha kutambua watu licha ya kutokuwa na uwezo wa kuona na huku akijaaliwa kipaji kikubwa katika kuchambua michezo na hata kukupangia kikosi

The post Video: ”Mtu akitembea namtambua rangi yake, uzito, refu na umbile lake,”- Kauli ya Ally Thabiti mlemavu wa macho akiwazungumzia nyota wa Simba appeared first on Bongo5.com.