Shabiki wa klabu ya Yanga, Ally Thabiti ambaye ni mlemavu wa macho akisimulia namna alivyoweza kuushuhudia mchezo wa Watani wa Jadi dhidi ya Simbasc katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Ally Thabiti ameonyesha uwezo wake wa kuwatambua wachezaji kuanzia uzito, rangi, maumbile na urefu wa wachezaji huku akikionyesha kipaji chake kikubwa cha kupanga kikosi na kutangaza soka.

The post Video: Mlemavu wa macho asimulia alivyoshuhudia ‘Game’ ya Simba na Yanga Taifa ‘Ulipigwa mwingi, Mkude alimchezea rafu mbaya sana Morrison’ appeared first on Bongo5.com.