Afrika Kusini nchi iliyopo Kusini mwa Bara la Afrika imethibitisha kuwa na Mgonjwa wa kwanza wa #coronavirus ambaye hivi karibuni alitembelea nchi ya Italia

Wizara ya Afya Nchini humo imesema Mgonjwa huyo mwenye miaka 38 alienda Italia na Mke wake. Walikuwa miongoni mwa Watu 10 waliowasili Afrika Kusini Machi 01, 2020

Aidha, Misri imethibitisha kuwa na Mgonjwa wa kwanza wa virusi hivyo ambaye ni raia wa nchi hiyo aliyerejea nchini humo akitokea Serbia kupitia Ufaransa

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Mgonjwa huyo aliyekaa saa 12 Ufaransa wakati wa safari yake, hakuonesha dalili zozote alipowasili Misri ila baada ya siku chache alienda hospitali baada ya dalili chache kuonekana