Taifa la Kenya limeitumia siku ya leo kama siku maalumu ya maombi dhidi ya janga linaloendelea kuikumba dunia mpaka hivi sasa ambalo ni janga la Virusi vya Corona linaloua kwa haraka sana.

Mpaka hivi sasa tayari kuna kesi zaidi ya 259,215 huku vifo vikifikia 11283 na waliopona wakifikia 87377 kote duniani.

Taifa ambalo linaoongoza mpaka hivi sasa kwa kuwa na kesi nyingi za watu wenye Corona ni Italia ikiwa na kesi 470221 kesi mpya kwa siku ya leo zikiwa ni 5986 na  vifo vikifikia 4032  kwa ujumla waliopoteza maisha kwa leo wakiwa ni 627.

Huku taifa la Kenya likiwa na kesi 7 za Corona huku kukiwa hakuna aliyepoteza maisha kwa Tanzania kutokana na takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya siku ya jana na leo hakuna kesi mpya  bado zile zile 6 zilizotangazwa.

View this post on Instagram

—————————————————————— Taifa la Kenya limeitumia siku ya leo kama siku maalumu ya maombi dhidi ya janga linaloendelea kuikumba dunia mpaka hivi sasa ambalo ni janga la Virusi vya Corona linaloua kwa haraka sana. Mpaka hivi sasa tayari kuna kesi zaidi ya 259,215 huku vifo vikifikia 11283 na waliopona wakifikia 87377 kote duniani. Taifa ambalo linaoongoza mpaka hivi sasa kwa kuwa na kesi nyingi za watu wenye Corona ni Italia ikiwa na kesi 470221 kesi mpya kwa siku ya leo zikiwa ni 5986 na  vifo vikifikia 4032  kwa ujumla waliopoteza maisha kwa leo wakiwa ni 627. Huku taifa la Kenya likiwa na kesi 7 za Corona huku kukiwa hakuna aliyepoteza maisha kwa Tanzania kutokana na takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya siku ya jana na leo hakuna kesi mpya  bado zile zile 6 zilizotangazwa. Video credit by (Citizentv) written by @el_mandle

A post shared by bongo5.com (@bongofive) on

By Ally Juma.

 

The post Taifa la Kenya laitumia siku ya leo kuomba maombi maalumu kwa ajili ya janga la virusi vya Corona – Video appeared first on Bongo5.com.