Mshambuliaji wa Manchester United Marcos Rashford awatoa hofu mashabiki wa United. “Nipo fiti zaidi mara 10, Nipo katika nafasi nzuri zaidi, Nina furaha kuliko vile niliyokuwa nayo mwezi mmoja uliopita, mambo yanaonekana kuwa mazuri zaidi kwangu kutokana na jeraha nililokuwa nalo, Niko ndani nafanya mazoezi, nasoma vitabu na kuangalia movie”

Mbali na hilo imeaelezwa kuwa wachezaji nane (8) wa klabu ya West Ham kutoka nchini Uingereza wamewekwa karantini baada ya kuonekana na dalili za virusi vya Corona. Chanzo ( Karren Brady)

By Ally Juma.

The post Rashford awatoa hofu mashabiki wa United “Niko fiti zaidi ya mara 10” Wachezaji 8 wa West Ham wawekwa karantini kwa kuonekana na dalili za corona appeared first on Bongo5.com.