RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi  na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu.(Picha na Ikulu).
 BAADHI  ya Wakuu wa Idara mbalimbali za Ofisi ya Rais Ikulu wakifuatilia kikao hicho cha kuwasilisha  taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani)   katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 BAADHI ya Maofisa wa Idara mbalimbali Ofisi ya Rais Ikulu wakifuatilia mkutano huo wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi hiyo kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Ndg. Salum Maulid.(hayupo pichani) kikao kilichofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi .Ndg. Salum Maulid, akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji ya Mpango  Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020,(kushoto) Naibu Katibu Mkuu Ndg, Salum Kassim Ali na Naibu Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi. Ndg Salmin Amour Abdaalla. Wakifuatilia taarifa hiyo wakati ikiwasailishwa.
 BAADHI ya Washauri wa Rais wakifuatila mkutano wa uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa  Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Barazac la Mapinduzi.Ndg. Salum Kassim Ali akijibu swali wakati wa mkutano huo wa kuwailisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu  Jijini Zanzibar. (kulia) Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ndg. Salum Maulid.
 MKURUGENZI Idara ya Uendeshaji na Utumishi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Makame Juma Ha akijibu swali wakati wa kuwasilisha kwa taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi  wa Ofisi ya Rais kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
KATIBU wa Rais Ndg. Haroub Shaib Mussa akijibu swali lililoulizwa wakati wa kuwasilishwa kwa taarifa ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020,katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.( hayupo pichani) (Picha na Ikulu)