Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimokatika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo baada ya kumuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa, Waziri wa Fedha na Mipangu Dkt. Philip Mpango, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mwenyekiti wa Tume ya Maadili Jaji Mstaafu Harold Nsekela pamoja na baadhi ya makatibu wakuu na Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya kumuapisha Bw. Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Umwagiliaji katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020 PICHA NA IKULU