Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Wa pili kushoto), akifafanua jambo kwa Wasimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Jengo la  Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Nchini,  SUMA JKT pamoja na baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, alipokuwa katika Ziara ya Kukagua  Maendeleo ya Ujenzi huo, Jijini Dodoma leo.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Wa tatu kushoto), akikagua Mradi wa Ujenzi wa Jengo la  Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Dodoma, alipokuwa katika Ziara ya Kukagua  Maendeleo ya Ujenzi huo leo, jijini Dodoma.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Wa pili kushoto), akifafanua jambo kwa Wasimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Jengo la  Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, SUMA JKT alipokuwa katika Ziara ya Kukagua  Maendeleo ya Ujenzi huo, Jijini Dodoma leo.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Wakwanza kushoto), akitoa maelekezo kwa Mhandisi David Palangyo, (Wa pili kulia) anayesimamia Mradi wa Ujenzi wa Jengo la  Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji linaloendelea kujengwa jijini Dodoma. 
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Wa pili kushoto), akifafanua jambo kwa Wasimamizi wa SUMA JKT wanaosimamia  Mradi wa Ujenzi wa Jengo la  Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, alipokuwa katika Ziara ya Kukagua  Maendeleo ya Ujenzi huo, Jijini Dodoma leo.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Wa kwanza kushoto) akitoka Kukagua Maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Jengo la  Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Nchini, Jijini Dodoma leo.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Wa tatu kushoto), akifafanua jambo mbele ya baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Wasimamizi wa SUMA JKT wanaosimamia Mradi wa Ujenzi wa Jengo la  Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji. Kailima alikuwa katika Ziara ya Kukagua  Maendeleo ya Ujenzi huo, Jijini Dodoma leo.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Wa pili kushoto), akifafanua jambo mbele ya  Wasimamizi wa SUMA JKT wanaosimamia Mradi wa Ujenzi wa Jengo la  Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, alipokuwa katika Ziara ya Kukagua  Maendeleo ya Ujenzi huo, Jijini Dodoma leo.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Wa kwanza kushoto), akitoka Kukagua Maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Jengo la  Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, Jijini Dodoma leo.
Muonekano wa sehemu ya Jengo la Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji linaloendelea kujengwa, ambalo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, amelikagua leo Jijini Dodoma.