Mwanamuziki mkongwe wa miondoko ya Soukous Aurlus Mabele kutoka nchini Congo amefariki dunia jijini Paris nchini Ufaransa akiwa na miaka 67 huku chanzo cha kifo chake kikielezwa kusababishwa na kiharusi licha ya kusemekana kusumbuliwa na Saratani ya Koo kwa miaka kadhaa sasa.

CREATOR: gd-jpeg v1.0 (using IJG JPEG v62), quality = 85

Kwa mujibu wa NationBreaking Kifo cha Mabele kimetokana na kiharusi na Taarifa hiyo imetolewa na msanii mwenzake wa LOKETO Nyboma Mwandido.

The post Msanii kutoka Congo Aurlus Mabele afariki dunia kwa ugonjwa wa Kiharusi akiwa jijini Paris appeared first on Bongo5.com.