Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.

The post Mgonjwa wa kwanza wa Corona Tanzania aomba radhi, aizungumzia hali yake (Video) appeared first on Bongo5.com.