Moja ya mameneja wa muziki duniani na mfanyakazi anayefanya kazi kwenye ofisi za waandaji tuzo za Grammy @marlonfuentes ameshangazwa na uwezo wa Diamond Platnumz baadabya kuudhuria kwenye show ya Diamond iliyofanyika kwenye Los angels Marekani

Kabla ya kuudhuria show hiyo meneja huyo alitembelewa ofisini kwake na Diamond Platnumz akiwa na uongozi wake na kuzungumza mambo mawili matatu kuhusu muziki. Meneja huyo ameahidi kuwa kuna uwezekano mkubwa kumuona Diamond kwenye tuzo za Grammy hivi karibuni


HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Meneja huyo ameonesha kufurahishwa na uwezo wa Diamond katika kuwapa mashabiki kile wanataka na amemwita 'Mmoja wa wasanii wakubwa duniani kutoka Tanzania'. MARLON alishawahi kuwa Dj wa mwanamuziki Shakira .