Hili suala linanishangaza sana kwa upande wa Media, wenzetu wa nchi za mbali huko wao huajili watu kwa kazi maalumu tu ya Ubunifu na hulipwa mshahara wa Juu sana, na hiyo hufanya Redio/TV kuwa midomoni mwa watu wakati wote na kuwa Undisputed,

sasa tuone hapa kwetu, na wewe utakuja na orodha yako

Clouds fm: XXL Wasafi fm:Block 89
Clouds fm: Leo Tena Wasafi fm: Mashamsham
Clouds TV/FM: Social Buzz/Break Wasafi TV: Refresh
EFM: Sport HQ Wasafi fm: Sport Arena
Clouds Media: Ndondo Cup Wasafi Media: Kivumbi Cup
Clouds Media: Malkia wa Nguvu Wasafi Media: Super Woman EA Radio: Mwanamke Kinara

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Hii inaonesha jinsi gani hakuna ubunifu na ni mambo ya kupeana kazi kwa kujuana, mara zote alieanzisha wazo huonekana yuko juu, naendelea kusema Mawingu wanachonga njia wengine wanapita, Wasafi ni kama hawawezi kuja na Idea zao mpya mpaka waangalie Mawingu anafanya nini, Na wao wameanzisha Tuzo za Superwoman baada ya Mawingu kuwa na Tuzo za Malkia wa Nguvu