Polisi mkoani Mbeya inamshikilia kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Festo Maduhu ambaye ni mbeba mizigo katika stendi ya Kabwe kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Jesca Michael kwa kumpiga na kumnyonga hadi kufa na kisha yeye kujaribu kujiua kwa kujikata na kitu chenye ncha kali shingoni.

 

The post Mbaroni kwa tuhuma za kumnyonga mhudumu wa ‘Gesti’ Mbeya (Video) appeared first on Bongo5.com.