Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana kwa Ishara na Baadhi ya wajumbe wa Kongamano la Wanawake katika kutekeleza  ushauri wa Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.  Ummy Mwalimu kuhusu  tahadhari  dhidi ya Virusi vya Ugonjwa wa  Corona, alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Hyatt Regency Jijini Dar es salaam leo March 04,2020 kwa ajili ya kufungua Kongamano la kuadhimisha na kusherehekea siku ya Wanawake Duniani na Miaka 25 Baada ya mkutano wa beijing.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana kwa Ishara Maalum na Mama Getrude Mongela  katika kutekeleza  ushauri wa Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.  Ummy Mwalimu kuhusu  tahadhari  dhidi ya Virusi vya Ugonjwa wa  Corona, alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Hyatt Regency Jijini Dar es salaam leo March 04,2020 kwa ajili ya kufungua Kongamano la kuadhimisha na kusherehekea siku ya Wanawake Duniani na Miaka 25 Baada ya mkutano wa beijing.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la kuadhimisha na kusherehekea siku ya Wanawake Duniani na Miaka 25 Baada ya mkutano wa beijing katika Ukumbi wa Mikutano wa Hyatt Regency Jijini Dar es salaam leo March 04,2020. . ambapo kauli mbiu Uwajibikaji wa Uongozi katika kujenga Kizazi cha Usawa wa Jinsia.
 Baadhi ya washiriki wa Kongamano la kuadhimisha na kusherehekea siku ya Wanawake Duniani na Miaka 25 Baada ya mkutano wa beijing katika Ukumbi wa Mikutano wa Hyatt Regency Jijini Dar es salaam leo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa WFT - T Mary Rusimbi  akimkabidhi Tuzo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwa kukumbukwa na kutambua mchango wake kwa kusaidia na kuwezesha Wanawake na Watoto pia kwa kuwa kuwa ni Mwanamke wa kwanza Nchini kuweza kushika nafasi ya Juu ya Uongozi wa Makamu wa Rais,  Baada ya kufungua rasmimi Kongamano la kuadhimisha na kusherehekea siku ya Wanawake Duniani na Miaka 25 Baada ya mkutano wa beijing 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionyesha Tuzo aliyokabidhiwa  na Mkurugenzi Mtendaji wa WFT - T Mary Rusimbi kwa kukumbukwa na kutambua mchango wake kwa kusaidia na kuwezesha Wanawake na Watoto pia kwa kuwa kuwa ni Mwanamke wa kwanza Nchini kuweza kushika nafasi ya Juu ya Uongozi wa Makamu wa Rais, baada ya kufungua rasmi Kongamano la kuadhimisha na kusherehekea siku ya Wanawake Duniani na Miaka 25 Baada ya mkutano wa beijing katika Ukumbi wa Mikutano wa Hyatt Regency Jijini Dar es salaam leo March 04,2020. ambapo kauli mbiu Uwajibikaji wa Uongozi katika kujenga Kizazi cha Usawa wa Jinsia. ambapo kauli mbiu Uwajibikaji wa Uongozi katika kujenga Kizazi cha Usawa wa Jinsia.