Bongo5TV Jumatano hii imekutana na dogo, Long Mars ambaye amedai amekuwa akikijiingizia kipato kupitia sanaa yake ya kuigiza sauti za wanyama mbalimbali. Mars amedai anapenda sana kuigiza, na sasa tayari anaweza kuigiza sauti 16 za paka,3 za mbwa, Sungura pamoja na wanyama wengine.

The post Kutana na dogo anayejiingizia mkwanja kwa kuigiza sauti za wanyama (Video) appeared first on Bongo5.com.