Taarifa ya Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu “Ninasikitika kutangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa wa corona Tanzania kilichotokea alfajiri ya leo March 31, katika kituo cha matibabu ya wagonjwa wa corona kilichopo Mloganzila DSM, Marehemu ni Mtanzania, Mwanaume mwenye miaka 49, ambaye alikuwa pia akisumbuliwa na maradhi mengine”

The post Kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Corona Tanzania appeared first on Bongo5.com.