Mdau wa Mitandao ya Kijamii JUMALOKOLE Anasema Kuwa Diamond hachezei wanawake bali wanajichezea wenyewe...

Wanakimbilia kupata Mimba wakijua ndio Mondi Atawapenda Milele , Yaani Badala ya kuhakikisha wanajijenga Kupitia jina la Diamond na kusaidia ndugu zao Wenyewe wanakimbilia Kutundikwa Mimba, Wakiachwa wanaanza kutafuta huruma za Wananchi....

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

PIA Anasema anamshauri Diamond aendelee kuwazalisha mpaka wakome kujilengesha wenyewe