Kichwa alichopiga Mbwana Samatta jana na kufunga goli, kinaitwa "Risasi". Waingereza wanaita "Bullett Header". Imempendeza Mungu bwa' mdogo wetu kuitabaluku Wembley. Kiwanja kinachoheshimika mno Uingereza na Ulaya yote. Kipaji kina tabia ya kumfikisha mbali sana mwenye nidhamu ya kipaji chake.

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Mbwana Samatta toka ajiunge Aston Villa Amekuwa akipangwa kikosi cha kwanza, Japo mashabiki wengi na wachambuzi wa michezo wanasema kuwa bado safu ya ushambuliaji ya Aston Villa hajajifunza kumtumia Samatta ipasavyo kama walivyokuwa wanafanya washambuliaji wa Timu ya Genk timu aliyotoka