MDAU: Nimekuja hapa Dar kwa rafiki yangu wiki ya pili sasa ananiletea chipsi usiku, nikimuuliza kwanini anasema eti ndio chakula cha haraka, namwambia niwe napika anasema inapoteza muda.

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Kwanini mnakuwa hivi wau wa Dar , mimi nikila hizi chips zenu mayai dakika mbili tu naanza kusikia njaa tena, Kwetu Sengerema Ugali ndo mpango mzima.....