Paparasi walimdhihaki mwanasosholaiti Zari katika mitandao ya kijamii baada ya kuandaa chapati zilizokuwa hazina shepu uoyote.

Wengine walisema kuwa hazina utamu.


Zari alikuwa ametundika picha akiwa jikoni akianda chapati lakini matazamio yake kwa wafwasi wake yalikuwa tofauti ,wengi wakisema kuwa chapati hizo zilikuwa zinafanana na mkate wa enzi wa wayahudi kwa jina Unleavened Bread Of jews,wenine nao wakasema zinafanana na Amoeba.


Wengine nao wakasema kuwa kilichomfanya Diamond kumuacha ni kutokana na upishi huo mbovu ambao hakuna mwanaume yeyote anaweza stahimili.

Wengine nao pia wakamshauri kuendelea kupigwa picha na kujipaka chaki au makeup kwa sababu upishi hawezani nao.

Comments za wadau chini:

.o.t.o: Zinakaa amoebaπŸ˜‚

damnitstino :Hii inakaa corona virus ikiangaliwa kwa microscope

cindachebet :Chapati Ni kuiva…shape wachia Huda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

sarahhassanmad: Hizi zinakaa za wayahudi

sadickmayodi28: Now I know why Diamond …alikuwacha😒

daniel_peter_mwarangu: Hahaha which continent did she just mold?

adamsdaseca: wacha nikule tu Locusts. 🀦🏽‍♂️

aisha.hal : Shida iko wapi? Bora inataste na imeiva vizuri

murasi_g :πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii ndio ile passover bread …bread without yeast

staciahenrykeith: Kwani zko na shape ya wakikuyuπŸ€£πŸ€£πŸƒ‍♀️πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

tanchepchumba :πŸ˜…πŸ€£πŸ€£ boxer chapos….πŸ‘πŸ½

noni_karanja: Oiiii!!! Is this a joke??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

254afterdark: hii ata last supper discples wangekataa

madoya: Anapika chapo na super brightπŸ˜‚

munala_:  Anapika amoebaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚