Kuelekea tarehe 14/03 Mwaka huu siku rasmi ambayo KondeBoy @harmonize_tz ata dropisha Album yake ya #AfroEastAlbum2020 ,leo ameShare listi ya miKwaju 18 itakayo patikana ktk Album hiyo inayo subiriwa kwa Ham na wapenzi wa mziki, huku wasanii pekee kutoka Tanzania ni Wakongwe #MrBlue na Lady JayDee .

Kutoka EastAfrica- Kenya rappa #KhaligraphJones amepata shavu Huku list ya wasanii kutoka Nigeria ikiwa na wasanii kama #BurnaBoy ,Mr Eazy, Falz, Skales, Phino na wengine na nje ya Africa ame washirikisha #MorganHeritage ktk ngoma no 10 inayoitwa Malaika