aada ya kusambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii kwamba gari aina ya discovery 4 ya msanii Shetta imekamatwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, Bongo5 ilienda eneo la tukio na kuthitishishiwa kwamba ni kweli gari hiyo ilikamatwa kutokana na masuala ya kikodi kwa mujibu chanzo hicho. Baada ya taarifa hiyo Bongo5 ilizungumza na Shetta kuhusiana na tukio hilo na yeye alithibitisha na kusema kwamba yupo kwenye mpango wa kulitoa.

The post Gari ya kifahari ya Shetta yadaiwa kukamatwa na TRA kisa kodi, mwenyewe azungumza (Audio) appeared first on Bongo5.com.