Msanii wa muziki kutokea nchini Nigeria David Adedeji Adeleke alimaarufu Davido kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha mpenzi wake Chioma kukutwa na virusi vya COVID-19 ( Corona Virus ) baada ya vipimo walivyomchukua March 25.

Davido ameeleza kuwa na mpenzi wake Pamoja na Watoto na watu wakaribu waliokuwa wamesafiri nao walichukua uamuzi wakujitenga baada ya kutoka safari nakurudia Nigeria ili kuangalia hali zao za kiafya kama zitakuwa hasijaathirika na ugonjwa huo.

Pamoja na Chioma kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona lakini Davido na wengine wote akiwemo mtoto wao hajapatwa na maambukizi hayo.

Washirika tumekutana nao kwa majaribio ya COVID-19 mnamo tarehe 25 Machi. Kwa bahati mbaya, matokeo ya mchumba wangu yalirudi yakiwa Positive wakati wengine wote 31 waliopimwa wamerudi kuwa Negative ikiwa ni pamoja na mtoto wetu.

”Bado tunaendelea vizuri kabisa na yeye bado bado hajaonyesha dalili zozote zile. Hivi sasa amewekwa Quarantine na pia nimeenda katika kujitenga kamili kwa siku 14.

“Nataka kutumia fursa hii kuwashukuru nyote kwa upendo wenu usio na mwisho na maombi mapema na kuwasihi kila mtu tafadhali kaa nyumbani kwani kutasaidia kudhibiti kuenea kwa virusi hivi! Pamoja tunaweza kuoambana na hii! — Davido

View this post on Instagram

Hey everyone ! I came back recently from America after postponing my tour. My fiancĂ© Chioma also came back from London recently with our baby. We had no symptoms and still both feel perfectly fine but because of our recent travel history we decided to take ourselves and our all close associates we’ve come in recent contact with for the COVID-19 test on the 25th of March. Unfortunately, my fiancĂ©’s results came back positive while all 31 others tested have come back negative including our baby. We are however doing perfectly fine and she is even still yet to show any symptoms whatsoever. She is now being quarantined and I have also gone into full self isolation for the minimum 14 days. I want to use this opportunity to thank you all for your endless love and prayers in advance and to urge everyone to please stay at home as we control the spread of this virus! Together we can beat this! Love, D ❤️

A post shared by Davido Adeleke (@davidoofficial) on

The post Davido asimulia jinsi mpenzi wake Chioma alivyokutwa na virusi vya Corona pamoja na mtoto wake appeared first on Bongo5.com.