Babu wa Loliondo, Ambilikile Mwasapile amesema ameoteshwa na MUNGU kutokea kwa tetemeko la pili tangu dunia kuumbwa na kuna baadhi ya Nchi zitahamishwa na kwenda kujiunga na Nchi nyingine.

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Mwasapile anasema tetemeko hilo litatokea usiku na kudumu kwa Saa nne na halitakuwa na madhara bali litatenda mambo makubwa.