Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Ilala, Dkt. Milton Makongoro Mahanga amefariki dunia wakati anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Kupitia ukurasa wa Instagram wa Chama hicho CHADEMA wamethibitisha hilo.

Ikukumbuykwe Aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, kabla ya kuhama CCM na kwenda CHADEMA ambako alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Ilala,Dk.Makongoro Mahanga amefariki Dunia, CHADEMA wamesema msiba umetokea leo asubuhi Muhimbili ambako alilazwa tangu juzi kwa matibabu.

 

 

The post Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mwenyekiti wa Chadema Ilala Milton Makongoro afariki dunia appeared first on Bongo5.com.