Watu 20 wafariki wakigombea mafuta

Watu 20 wamefariki Jana katika ibada ya mahuburi wakati wa harakati za kukanyaga Mafuta ya Upako kwenye kongamano la Mhubiri Boniface Mwamposa ‘Bulldozer’ katika Viwanja vya Majengo Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro.

Inaelezwa kuwa watu zaidi ya 40 walikanyagana wakati wa kugombania kukanyaga mafuta yaliyomwagwa na mhubiri huyo yakidaiwa kuwa na

upako, na kukimbizwa katika hospitali ya Mkoa wa Kilimanjaro, Mawenzi.

The post Watu 20 wafariki wakigombea mafuta appeared first on cloudsmediatz.