Mkurugenzi Mtendaji wa LSF Lulu Ngw’anakilala akitoa mada juu ya ushirikishwaji wa radio katika kuchochea haki na usawa kwa wananchi katika mkutano maalum wa kuadhimisha siku ya radio duniani uliofanyika Zanzibar.Hivi karibuni, LSF imeingia ubia na mtandao wa radio za kijamii TADIO ili kuwezesha wananchi hususani wapembezoni mwa nchi kupata elimu kuhusu maswala ya kisheria na upatikanaji wa haki (Picha kwa hisani ya LSF)