Alianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote, akaja kwa Rick Rose nako chali, sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa, dogo atafute ukaribu na watu wa maana ambao wanatesa kwa sasa na kwenye chat za billboards wanashikilia numbers za mbele
HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Mfano kama kina Davido juzi kati alifanya Collabo la Maana na Chris Brown ambalo limetesa Dunia nzima, Pia Wizkid Alishafanya Colabo la maana na mzee mzima Drake Ambalo lilishika mpaka nafasi za juu katika chat za billboards