Hii video inaonyesha baadhi ya mali zilizokamatwa na Jeshi la Polisi kutoka kwa Wafanyakazi wanne wa Kampuni ya Ulinzi ya G4S Security wanaodaiwa kutoroka na Bilioni 1.28, Dolla za kimarekani 402,000 pamoja na Euro 27, 700 mali ya benki ya NBC

VIDEO: