Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi wa Polisi Salum Hamduni, akiangalia mandhari ya ndani ya gari lililotumiwa na Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere wakati wa harakati za kutafuta Uhuru wa Tanganyika, gari hilo limepaki Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi, mkoani Kilimanjaro.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi wa Polisi Salum Hamduni, akimuonyesha Mkuu wa Uhamiaji, Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandamizi Tunu Ng’ondya mandhari ya ndani ya gari lililotumiwa na Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere wakati wa harakati za kutafuta Uhuru wa Tanganyika, gari hilo limepaki Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi, mkoani Kilimanjaro.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi wa Polisi Salum Hamduni, akisoma taarifa fupi iliyobandikwa ndani ya gari lililotumiwa na Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere wakati wa harakati za kutafuta Uhuru wa Tanganyika,kulia ni Mkuu wa Uhamiaji, Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandamizi Tunu Ng’ondya, gari hilo limepaki Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi, mkoani Kilimanjaro.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.