Rayvanny amefunguka haya kuhusu kuendelea kuwa chini ya Diamond Platnumz Kikazi
"Mimi kufanya kazi na diamond hakuwezi kunizuia kuwa mkubwa, Hakuna kitu kama icho, Hapo ndio wasanii wengi huwa wanafail, Mfano mzuri Diamondplatnumz amewahi kushinda tuzo nyingi lakini mimi nimeshinda moja ambayo hajawahi kuishinda.