Rapa Lil Wayne amekonga nyoyo za raia wa Nigeria baada ya kutangaza kuwa baada ya kufanya uchunguzi wa vinasaba (DNA) amegundua rasmi kuwa asilimia 53 ya asili yake ni Nigeria.