RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar. Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Kipindi cha Julai hadi Disemba 2019 / 2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (kilia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee, Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar.Mhe. Balozi Amina Salum Ali na Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe. Hassan Khamis Hafidh (Picha na Ikulu) .
BAADHI ya Maofisa wa Idara za Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar wakifuatilia uwasilishwaji wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar.Ndg. Juma Hassan Reli akiwasilisha mpango kazi (hayupo pichani) (Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe.Balozi Amina Salum Ali akiwasilisha muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yake kwa mwezu wa Julai hadi Disemba 2019/2020 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kushoto) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Maofisa wa Idara za Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar wakifuatilia uwasilishwaji wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar.Ndg. Juma Hassan Reli akiwasilisha mpango kazi (hayupo pichani) (Picha na Ikulu)
KATIBU Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Juma Hassan Reli akiwasilisha Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yake kwa Kipindi cha mwezi Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) (Picha na Ikulu)
MKURUGENZI Biashara Ndg. Khamis Ahmada Shauri akichangia wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Kipindi cha cha mwezi Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulun Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
AFISA wa Idara ya Vipimo na Biashara Ndg. Mohammed Mwalim . akichangia wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) (Picha na Ikulu).