Prophet Shillah aliyesemekeana amekatwa mguu baada ya kupata ajali ya gari akitokea Dodoma afunguka kwa mara ya kwanza kuhusiana na habari hizo za yeye kukatwa mguu wake.



Akiongea na Bongo5 Shillaha ameongea huku akiwatahadharisha na kuwapa onyo kali wambea Juma Lokole na Carry Mastory juu ya ayle wanayoyasambaza kwenye mitandao ya kijamii.

Prohet amefunguka haya:-