Msanii huyo kaonekana Kenya , kaweka meno ya madini ya Almasi yenye thamani ya Milioni 63 za kitanzania !!!! .

Wengi wameonekana wakimuita limbukeni kwa kununua Meno ghali kiasi Hicho huku wengine wakisema ajapendeza

Soma Comments za wadau hapa Chini:

pandazbb:Hajapendeza kabisa pumbavu huyu limbukeni


n_e_m_e_s_i_s_707 Hyo mil 63 aliikata kwny gazet au

galustamba: Ni wakati wake, acha atambe na akiweza anunue na ulimi wa bei mbaya pia!

yahya.ally.129794: Af mpaka leo nyuma ya kukaa hana anaixhi kwny nyumba za kupanga