Nyota wa muziki kutoka Tanzania, 👉OmmyDimpoz kwenye Selfie ya Pamoja na Rapper wa Kundi Migos la nchini Marekani, 👉Quavo.

Wawili hawa wamekutana baada ya kuhudhuria mchezo wa *NBAAllStar 2020 mjini Chicago nchini humo.